ALE!

Pere, Kaa Mwenye Kujali – Swahili Edition of The Caring Crab

Original price was: €18,50.Current price is: €8,88.

SKU: 2718597 Category:

Description

Kaa Colin, ambaye ni mwashi mashuhuri zaidi kwenye ukingo wa mto wa mashariki, hakusita kuwasaidia marafiki zake. Baada ya kufanya kazi kwa bidii kwa wiki nzima, lile banda la samawati la bustanini ambalo ni ndoto ya maisha yake bado halijakamilika na jamii ya samaki wenye machachari wametwaa madaraka kwenye eneo la mjengo. Kwa uchovu, Colin anajifunika kwa blanketi na kukataa kufungua pazia yake. Marafiki wa Colin wanatamaukwa. Mkutano wa dharura unaandaliwa. Ni wakati wa marafiki kuchukua hatua.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Pere, Kaa Mwenye Kujali – Swahili Edition of The Caring Crab”

Sähköpostiosoitettasi ei julkaista. Pakolliset kentät on merkitty *